GET /api/v0.1/hansard/entries/1304381/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1304381,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304381/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kingi",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": " Sen. Munyi Mundigi, kadri unavyochangia Hoja hii, nakusihi utie maanani ile tahadhari ambayo nimetoa kabla hatujaanza mdahalo huu. Hatuzungumzii ukweli, uzito, usawa ama uchache wa ile kesi. Hoja iliyo mbele yetu kwa sasa ni aidha, tuchague Kamati ifanye uchunguzi ama Seneti mzima ifanya uchunguzi. Kwa hivyo, tafadhali, usiende nje ya mada hiyo."
}