GET /api/v0.1/hansard/entries/1304382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1304382,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304382/?format=api",
    "text_counter": 245,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naomba msamaha. Ni uchungu nilio nao kwa watu wa Meru. Unakumbuka Embu County tumeteseka kwa kipindi cha miaka kumi. Kama watu wa Meru wanahisi vile tulivyokuwa tunahisi kama majirani kwa muda wa miaka kumi, basi naunga mkono tuwe Maseneta 67 tuangalie vile itawezekana. Hii ni kwa sababu tunajua kazi yetu ni kuangalia vile Kaunti 47 zilivyo. Napinga Hoja hii ili tuweze kuwa sisi wote tuangalie itakuwa vipi. Kama watu wanataka kulipiza kwa vile tulirudisha Deputy Governor wa Siaya, sio vizuri. Hatuwezi kukubali mnayoyasema, lazima twende njia ya Maseneta 67."
}