GET /api/v0.1/hansard/entries/1304423/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1304423,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304423/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Leo, wana nafasi kusikia wazi. Wale wanaoitwa madaktari, maprofesa na walimu wadhihirishe uwezo wao wazi mchana kadamnasi. Ni wapi ama ni shinikizo zipi zinahakikisha kwamba wanapata haki ama nafasi ya kujieleza kwa sababu Seneti ni Bunge la kutetea ugatuzi."
}