GET /api/v0.1/hansard/entries/1304439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1304439,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304439/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "hii Motion ya kwamba hii impeachment ipelekwe kwa Kamati. Nimesikia wengi wakisema hii impeachment Motion ikipelekwa kwa kamati haitapata haki. Hii inamaanisha zile Petitions, Statements na Motions zinapelekwa kwa kamati hazipati haki? Ninaamini zinapata haki. Kwa hivyo, nina support hii Motion ipelekwe kwa kamati ili watu wa Kaunti ya Meru na Gavana Mwangaza wapate haki yao na wawe na nafasi ya kuwasikiliza vizuri. Bw. Spika, nimekaa kwa kamati ya impeachment mara mbili. Hii ya Gavana Mwangaza iliyokwisha na nyingine ya North Eastern. Pale, kuna wakati mwema ya watu kusikilizwa. Gavana asikizwe na malalamishi ya Wabunge wa Kaunti na watu wa Meru pia wasikizwe kwa makini. Kwenda kwa committee haimaanishi ya kwamba watu wa"
}