GET /api/v0.1/hansard/entries/1304442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1304442,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304442/?format=api",
"text_counter": 305,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Niko katika kamati inayohusika na ulipuzi wa 1998. Kila wakati huwa mnaona kwenye runinga kwa maana huwa tunaita wanahabari kuja pale. Itakuwa wazi hata kwenye kamati. Ninaunga mkono suala hili liende kwa kamati."
}