GET /api/v0.1/hansard/entries/1304510/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1304510,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1304510/?format=api",
"text_counter": 373,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Ninasimama kupinga Hoja hii. Nakubaliana na Seneta mwenzangu Tabitha Mutinda ya kwamba, sisi kama wanawake tutakuwa wachache katika kutoa mwelekeo wa hii Impeachment Motion. Kwa hivyo, mimi pia ninaungana na walio wengi kusema hiyo Hoja iletwe hapa, tuisikize sote kwa pamoja. Asante."
}