GET /api/v0.1/hansard/entries/130705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 130705,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/130705/?format=api",
"text_counter": 11,
"type": "speech",
"speaker_name": "(Ms. Leshoomo)",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "kumuuliza Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani:- (a) Je, Waziri ana habari kuhusu vita kati ya jamii za Samburu na Pokot mnamo tarehe 7/8/2009 katika tarafa ya Poro, Wilayani Samburu, ambapo watu watatu walipoteza maisha, wanne kulazwa hospitalini na majeraha mabaya na mifugo kadhaa kuibwa? (b) Je, Serikali inachukua hatua gani kukomesha vita baina ya jamii hizi mbili, ambavyo vimeendelea kwa miaka mingi?"
}