GET /api/v0.1/hansard/entries/130742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 130742,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/130742/?format=api",
    "text_counter": 48,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, naomba kumuuliza Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani Swali la Dharura lifuatalo. (a) Je, Waziri ana habari kuhusu vita kati ya jamii za Samburu na Pokot vilivyotokea mnamo tarehe 7.8.2009 katika tarafa ya Poro, Wilayani Samburu, ambapo watu watatu walipoteza maisha yao, wanne kulazwa hospitalini na majeraha mabaya na mifugo kadhaa kuibwa?"
}