GET /api/v0.1/hansard/entries/1315950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1315950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1315950/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi ili niweze kuchangia hii Ripoti ambayo ni nzuri kabisa. Ninataka kutangulia kwa kuwapongeza wanakamati kwa kuweza kuikalia na kupiga msasa hao mabalozi ambao waliteuliwa na kutuletea Ripoti hii ambayo tumeweza kuiangalia. Ni Ripoti ambayo imeandikwa kwa ufasaha. Ninataka kuunga mkono Ripoti hii na kuwapongeza mabalozi wapya kwa majukumu yao mapya ambayo wanaenda kuanza kuyafanya. Ninataka ujumbe huu uende kwa mabalozi wapya kwamba wao watakuwa wazazi wa Wakenya wengi ambao wako nje ya nchi. Tuko na Wakenya wengi ambao wako kule nje, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}