GET /api/v0.1/hansard/entries/1316289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1316289,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316289/?format=api",
    "text_counter": 241,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii nichangie mjadala huu. Ninataka kwanza kumshukuru Mwenyekiti wa Kamati hii kwa kazi nzuri ambayo amefanya kwa hii Ripoti ya masuala ya kuhakikisha kwamba katika mipaka yetu na nchi jirani kuwe na usafirishaji mzuri wa bidhaa na binadamu bila pingamizi yoyote."
}