GET /api/v0.1/hansard/entries/1316290/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1316290,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316290/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "Molo, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
"speaker": null,
"content": "Mheshimiwa Spika wa Muda, ni muhimu sana kwako na kwangu kuona kwamba barabara kutoka Rironi kuelekea Naivasha, Gilgil, Mau Summit hadi Malaba magari hayasimamishwi kiholela. Mbali na hilo, inafaa kuwe na barabara inayoitwa kwa kimombo"
}