GET /api/v0.1/hansard/entries/1316293/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1316293,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316293/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Molo, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
"speaker": null,
"content": "Hata tunapozungumza kuhusu bidhaa na binadamu kusafiri katika nchi zetu jirani bila pingamizi yoyote, ni vizuri pia kuzingatia ule ushuru ambao tunaita cess, ambao unatozwa na serikali za kaunti. Mkulima wa viazi kule Molo anaposafirisha viazi vyake kuvipeleka sokoni kule Mombasa, anapovuka mpaka wa Nakuru County na kuingia Kiambu County, anapata serikali ya Kiambu imeweka roadblock na inaitisha cess. Akiingia Nairobi County, anatozwa"
}