GET /api/v0.1/hansard/entries/1316295/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1316295,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316295/?format=api",
    "text_counter": 247,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": ". Akitoka Nairobi apitie kaunti nyingine hadi Taita Taveta County, anatozwa cess . Anapofika Mombasa County, anatozwa cess. Kwa hivyo, hata tunapozingatia usafirishaji wa bidhaa baina ya nchi jirani, na hasa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ni vizuri kuhimiza Bunge letu la Seneti kutunga sheria ambayo itarahisisha usafirishaji wa bidhaa miongoni mwa kaunti zetu tofauti bila wakulima kutozwa cess . Pendekezo langu ni kwamba cess itozwe na serikali ya county ambako bidhaa hizo zinatoka na serikali ya county ambako bidhaa hizo zitauzwa. Lakini pengine tukisema cess The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}