GET /api/v0.1/hansard/entries/1316299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1316299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316299/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Molo, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
"speaker": null,
"content": "Kuhusu, masuala ya ujirani wetu hasa kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, ukiangalia nchi ya Marekani, imeweza kuendelea sana kiuchumi. Hivi sasa tunaona kwamba Dola ya Marekani ikikohoa kule Philadelphia inasitisha ufanyikazi wetu hapa nchini. Tunajaribu lakini unapata hatuna kile tunachokiita kwa kiingereza control kabisa kwa hiyo Dola na depreciation"
}