GET /api/v0.1/hansard/entries/1316301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1316301,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1316301/?format=api",
    "text_counter": 253,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "na shilingi yetu. Kwa hivyo, hio nchi imeweza kuendelea kwa sababu zile States zote za Marekani ni nchi moja ya watu wa Amerika. Na sisi hapa tunashinda tukilalamika na kuzingatia mipaka iliyowekwa na wabeberu. Ukiangalia utaona kwamba wale Wameru ambao wako Meru ndio Wameru ambao wako Tanzania. Wamasaai ambao wako Kenya ndio Wamasaai ambao wako Tanzania. Kuhusu wanyama pori wetu, ninakumbuka wakati Rais Suluhu alipokuja hapa, alisema wanyama wetu wanatoka Masaai Mara wanaenda Serengeti kufanya vitu vyao. Kwa hivyo, hata sisi tusizingatie hiyo mipaka sana ndio tuweze kuishi pamoja kama Jumuiya moja ya Afrika Mashariki. Asante Mheshimiwa Spika wa Muda."
}