GET /api/v0.1/hansard/entries/1317570/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1317570,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1317570/?format=api",
    "text_counter": 410,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kirinyaga County, UDA",
    "speaker_title": "Mhe. Njeri Maina",
    "speaker": null,
    "content": " Shukrani Mhe. Spika. Ningependa kuuliza Waziri kuhusu kupotea kwa watoto kule Kaunti ya Kirinyaga, upande wa Kiamaciri na Kaminji kule Mwea. Watoto hao ni wenye umri wa miaka tatu na kumi."
}