GET /api/v0.1/hansard/entries/1317703/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1317703,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1317703/?format=api",
    "text_counter": 543,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Spika, nikiuliza hili swali, litatenganisha watu wa Lamu sana. Sitaki tuonekane kama ni sisi dhidi ya wao. Itakaa ni kama ni vita baina ya sisi na wao, na litachangia zaidi utovu wa usalama. Ningeomba Waziri ajibu swali langu la pili na la tatu kwa maandishi. Swali la kwanza limepitwa na wakati, kwa sababu Waziri mwenyewe amewahi kulijibu katika vyombo vya habari. Ahsante."
}