GET /api/v0.1/hansard/entries/1319679/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1319679,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1319679/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Tukiendelea mbele, maanake Mhe. Rais mbali na Hustler Fund, alitaja mambo mengi hapa kuhusu wakulima. Alisema yeye mwenyewe hupigia hao watu simu. Ningependa hilo jukumu liwe letu sisi kama Wabunge. Tupigie watu simu na tuwaulize kwamba leo hii kuna fertiliser imepunguzwa bei kutoka shilingi 6,500 hadi shilingi 2,500. Je, huo ni ukweli? Lakini, wewe ambaye unafanya mtihani, huwezi kuitunga. Ninaona hilo jukumu lingekuwa ni letu sisi."
}