GET /api/v0.1/hansard/entries/1319681/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1319681,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1319681/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Kwa kumalizia, kama vile dada yangu alizungumza hapa kuhusu ugawaji wa kazi, mimi ninatoka Malindi, Kaunti ya Kilifi, sehemu ya Pwani. Watu wengi ninaowakilisha kule ni Wamijikenda. Ninataka nikuhakikishie, katika huu mwaka mmoja nimekuwa katika hili Bunge, idadi ya wale watu wangu ninaowakilisha walioajiriwa kazi ni dogo sana. Kwa hivyo, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}