GET /api/v0.1/hansard/entries/13221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 13221,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/13221/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Bw. Spika, niliitisha Taarifa tarehe 22/2/2011 kutoka kwa Wizara ya Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani. Taarifa hiyo ilihusu kukosekana kwa usalama katika miji miwili ya Kitale na Eldoret. Mpaka sasa, Taarifa haijafika Bungeni na usalama unaendelea kuzorota na Wakenya ambao hawana hatia wanapoteza maisha yao."
}