GET /api/v0.1/hansard/entries/13230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 13230,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/13230/?format=api",
"text_counter": 282,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Prof. Saitoti): Bwana Spika, ningependa kusema kwamba nasikitika kwamba tulikuwa tumekubaliana ya kwamba taarifa hiyo italetwa hapa Bungeni haraka iwezekanavyo, lakini inaonekana kwamba pengine kulikuwa na shida kidogo hapa na pale. Ningependa, kwa ruhusa yako, kuomba niilete Taarifa hiyo Jumanne wiki ijayo."
}