GET /api/v0.1/hansard/entries/1323790/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323790,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323790/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Mheshimiwa Kassim, hata wewe ulipoanza hoja yako ya nidhamu umesema Madam Speaker . Ni vizuri turekebishe na usome Kanuni ya Kudumu ya Bunge 77, kipengee cha pili. Inasema ya kuwa ukianza kwa Kiingereza unamaliza kwa Kiingereza. Ukianza kwa Kiswahili, unamaliza kwa Kiswahili. Ukianza kwa lugha ya ishara unamaliza kwa lugha ya ishara. Kwa hivyo, tuwache kuchanganya lugha na tufanye kwa kufuata kanuni zetu. Mheshimiwa Ng’eno, ni Kiswahili ama Kizungu?"
}