GET /api/v0.1/hansard/entries/1323791/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323791,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323791/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mheshimiwa Spika wa Muda. Unajua nimeweka pendekezo la onyo, kwamba Kiwahili kilitupata kama tumeenda. Hakikutupata kama bado tunakaa. Kilitupata kama tumeenda na kwa hivyo, kikatufuata kikatupata barabarani na ikakuwa hivyo. Niliona kwa televisheni Hoja kwa Bunge ya Tanzania. Watanzania ni watu wa Kiswahili. Nilienda kwa Mhehsimiwa Tandaza siku moja alipoanialika. Watu huko wanajaribu kuongea Kiswahili na utafikiria labda ni watu wa Kiswahili. Vuka ng’ambo uende Tanzania uskie Kiswahili chenyewe. Kwa hivyo, Mheshimiwa Spika wa Muda, usifikirie akina Mheshimiwa Tandaza wanajua Kiswahili. Hio yake ni maji maji. Mimi nilitazama televisheni ya Tanzania. Tanzania wameruhusu lugha ya Sheng’ itumike ilhali kwao hapo ni nyumbani mwa Kiswahili."
}