GET /api/v0.1/hansard/entries/1323792/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323792,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323792/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": " Mheshimiwa Ng’eno, kila nchi inazo sheria zake. Sisi tuko na kanuni zetu na ukisoma utaona vile ilivyo. Ni vizuri ufuate Kanuni zetu za Kudumu ukianza na Kiswahili, sio Sheng’. Unaweza fanya utohozi lakini pia lazima uweze kuweka nukuu ama zile alama za kunukuu kwenye Bunge. Ni vizuri tufanye vile inafaa. Hii nchi ni tofauti na Tanzania."
}