GET /api/v0.1/hansard/entries/1323793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323793/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Emurua Dikirr, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Johana Kipyegon",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mheshimiwa Spika wa Muda. Kile ningesema ni kwamba labda nilete madabiliko kwa Kanuni za Kudumu. Tujaribu kubadilisha kama mtu anaongea Kiswahili aongee Kiswahili. Kama mtu anaonea Sheng’ aongee Sheng’ ya kuchanganyisha Kiswahili na Kiingereza bora watu waelewe. Kwa sababu hata saa hii Kiswahili ambacho tunakiongea hapa hakieleweki huko nje. Watu wamechanganyisha Kiswahili na Kingereza. Tungekuwa tunatumia Kiswahili kama chombo cha kufundisha watoto wetu kwa madarasa na vitu vyote. Kwa hivyo, ningependa kusema lazima tudumishe utamaduni wetu na kuhakikisha tumeiweka vizuri na kuitunza. Vitu vyetu ambavyo vilichukuliwa na wazungu virudishwe kwa lazima nyumbani ndio watu wetu wajue vitu ambavyo tumekuwa navyo."
}