GET /api/v0.1/hansard/entries/1323795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323795,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323795/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante Mheshimiwa Spika wa Muda. Nashukuru kwa kunipatia nafasi nichangie kuhusu haya mambo ya kitamaduni. Utamaduni ni muhimu sana. Bidhaa zetu ambazo zimechukuliwa hapa Kenya zikaenda nje na ambazo ni za kitamaduni ni vyema zirejeshwe. Hivi vitu vya kitamaduni vinaleta pesa. Niliwahi kwenda Uturuki nikaenda kwenye Makavazi yao. Hayo Makavazi wameweka vitu ambavyo huku kwetu si muhimu sana. Kitu kama kiinu ama jiwe la kusaga. Kabla hatujapata hizi vitu tunaziita The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}