GET /api/v0.1/hansard/entries/1323816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323816,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323816/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisii County, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Dorice Donya",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Ninaposimama kuongea kuhusu utamaduni, nimefurahia sana kwa sababu leo ndio mara yangu ya kwanza kuongea Kiswahili Bungeni. Inaleta shangwe sana kwamba Kiswahili kule nje… Kuna siku nilikuwa nimesafiri Marekani na nikagundua kwamba Wazungu wanapenda Kiswahili. Mkiingia Marekani wanasema, ‘karibuni’ na ‘asanteni’. Hata kama hawaongei jinsi tunavyoongea, wanafurahia kuwa Kiswahili ni alternative ya Kingereza. Nikirudi kwa hii Hoja, kila mtu, iwe ni mtoto mchanga ama mtu mkubwa, ako na hadithi yake. Hizi hadithi zinapatikana kutoka kwa wazee wa kitambo wakifunza watoto. Mafunzo ya chakula cha asili wanacho kila, mavazi wanayovaa na hata tabia. Katika utamaduni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}