GET /api/v0.1/hansard/entries/1323817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323817/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisii County, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Dorice Donya",
    "speaker": null,
    "content": "wetu wa Kisii, kwa mfano, wasichana wanafunzwa na kuambiwa haistahili msichana aishi bila heshima. Wasichana hufunzwa na wakubwa wao jinsi ya kuketi, kuongea na wakubwa wao na vile wanafanya uhusiano na watu wengine. Hizo hadithi sio hadithi za kitambo tu, ni mpaka siku zinazokuja. Tukiwa na hivi vitu ambavyo Wanasheria wanaona, wanaambiwa hii… Kama wakati wa kuolewa kule kwetu, kuna kitu watu huvalia kwa mguu kinachoitwa Egetinge . Katika nchi zingine, wanahifadhi vitu kama hivi na vinakuwa vyenye dhamani ya juu, na vinaleta pesa kwa nchi. Vinaweza pia kutumika kufundisha watoto wetu. Tukiongea hapa nimejiuliza: ‘Kweli utamaduni uko upande gani?’ Sasa utamaduni uko"
}