GET /api/v0.1/hansard/entries/1323819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323819,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323819/?format=api",
    "text_counter": 147,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisii County, WDM",
    "speaker_title": "Hon. Dorice Donya",
    "speaker": null,
    "content": ". Ile inayopatiwa umuhimu sana na kujulikana sana ni upande wa michezo. Huu upande mwingine umemezwa kwa hiyo Ministry. Kama tunataka kusaidia watoto wetu, utamaduni unafaa kuwa kando. Specifically, sijui tu…Mhe. K,J,, specifically kwa Kiswahili ni nini?"
}