GET /api/v0.1/hansard/entries/1323821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323821,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323821/?format=api",
"text_counter": 149,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisii County, WDM",
"speaker_title": "Hon. Dorice Donya",
"speaker": null,
"content": " Haswa. Iwe kwamba kuna Wizara ya utamaduni pekee, ndio utamaduni usimezwe kule katikati. Ni kama watu wawili wamesimama, mmoja amekula vizuri na mwingine hajakula. Yule hajakula haonekani. Ama mmoja ni mweupe na mwingine ni mweusi. Huyo mweusi atapotea hapo katikati. Utamaduni ukiwa haswa umetengenezwa vizuri, watu watajua hadithi za kitambo, mambo yaliyopita na yale ambayo yanayokuja. Naunga mkono hii Hoja."
}