GET /api/v0.1/hansard/entries/1323823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323823,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323823/?format=api",
    "text_counter": 151,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Masinga, Independent",
    "speaker_title": "Hon. Joshua Mwalyo",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Nami pia nitaongea Kiswahili leo kwa sababu nakifahamu. Hoja hii ambayo imeletwa na Kamati hiyo ya Michezo na Utamaduni inazungumzia kuchukua na kumiliki utamaduni wetu. Kwa mfano, wachukue vile vinyago ambavyo vinatengenezwa na Wakamba na kuvipeleka kule ng’ambo na waseme ni vyao. Hii inamaanisha tukatae hivyo visimilikiwe na wale watu wa ng’ambo."
}