GET /api/v0.1/hansard/entries/1323828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323828,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323828/?format=api",
    "text_counter": 156,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dagoretti South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Kiarie",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Mheshimiwa Spika wa Muda. Hoja yangu hasa haihusiani na usanifu wa lugha. Ni kuhusu mada anayoileta Mheshimiwa Mwalyo kwamba vinyago vya Wakamba ni ala za kitamaduni. Ningependa nimjulishe kwamba historia ya Mkamba kuchonga vinyago ni historia ya hivi punde sana. Kwa tamaduni zao, Wakamba hawakuwa wachonga-vinyago ila tu walisoma jinsi ya kuchonga vinyago kutoka kwa Wamakonde ambao walikuja hapa nchini kutoka nchi ya Tanzania wakiwa wamesafiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika. Anapoongelea tamaduni za Wakamba, namjulisha kwamba nina ujuzi wa kutosha wa mila za Kikamba. Mimi ni mmoja wa wazaliwa wa Wakamba. Hii tamaduni ya kuchonga The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}