GET /api/v0.1/hansard/entries/1323836/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323836,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323836/?format=api",
"text_counter": 164,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Mheshimiwa, komea hapo. Sasa sijui ni nani anaongea mambo ya ukweli ya Wakamba. Je, ni Mheshimiwa Mwalyo ama ni Mheshimiwa KJ? Mheshimiwa Mwalyo, la muhimu kwa ile hoja ya nidhamu ya Mheshimiwa Nyamai, kile ambacho nitakuhimiza ni kuweka alama za kunukuu ama quote marks kwa neno ambalo hauna neno lake la Kiswahili . Endelea, Mheshimiwa."
}