GET /api/v0.1/hansard/entries/1323844/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323844,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323844/?format=api",
"text_counter": 172,
"type": "speech",
"speaker_name": "Masinga, Independent",
"speaker_title": "Hon. Joshua Mwalyo",
"speaker": null,
"content": " Okay . Nilikuwa ninasema kwamba cha muhimu kabisa ni tukatae ili mali yetu isipelekwe ng’ambo na watu wengine waimiliki wakisema ni yao au wao ndio waliivumbua. Juzi tumeenda Zambia na wanasema kwamba eti Mzungu aliyekuja pale ndiye alivumbua maji yanayomwagika pale ilhali hayo maji yalikuwa hapo. Kisha, maji hayo yakaanza kuitwa kwa jina lake. Tukatae mambo kama hayo ili tutunze na kukubali mali ambayo ni sisi wenyewe tulianza. Tuiweke maanani ili wengine wawe wanavutiwa nayo na watuletee hata pesa za kigeni wakija hapa. Kwa hayo machache, nakoma hapo."
}