GET /api/v0.1/hansard/entries/1323847/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323847,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323847/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sotik, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Francis Sigei",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Rais alikuwa kwetu Sotik wiki iliyopita. Alikuja kwa uwanja ambao tumeanza kujenga. Tunafikiria kuweka jina la mtu ambaye alikuwa wa maana kwetu ambaye anaitwa Mugeni. Inafaa hata majina yale tunayo, iwe ya kitamaduni. Kwa mfano, tuna Lake Victoria. Ni nani anaitwa hivyo? Tungependa watu wa Nyanza watafute jina ambalo lina maana kwao. Nataka kuhimiza kwamba wale watu walikuwa wakubwa wetu zamani, warudishe vitu ambavyo walichukua kutoka kwetu. Nina jambo la pili ambalo ningependa kusema. Wabunge wameongea kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni kitu cha maana sana. Tungependa tupatiwe nafasi ili tuseme mambo ambayo tunasema kwetu. Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono Hoja hii. Ahsante."
}