GET /api/v0.1/hansard/entries/1323859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323859,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323859/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dagoretti Kusini, UDA",
"speaker_title": "Mhe. John Kiarie",
"speaker": null,
"content": " Ni kweli, Mhe. Spika wa Muda, tulikuwa darasani na Mhe. Nyamai. Nimesimama kwa hoja ya taarifa. Chondo sio neno la Kiswahili lakini, tunajua kwamba muda unapoyoyoma, maneno mapya yanaingia kwa lugha. Chondo kwa hakika ni kutumia lugha ya kiasili ama lugha ya mama. Kiondo ni neno la Kikuyu na Wakamba wanakiita"
}