GET /api/v0.1/hansard/entries/1323865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1323865,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323865/?format=api",
"text_counter": 193,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Martha Wangari",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": " Muda uliowekewa kando kwa Hoja hii umeyoyoma. Ningependa kumualika Mheshimiwa Daniel Wanyama, ambaye ndiye mwenye Hoja hii, ili ajibu. Uko na dakika 10 za kujibu, lakini unaweza kuchangia dakika chache kwa wale ambao wamebaki."
}