GET /api/v0.1/hansard/entries/1323955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323955,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323955/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ningependa hili liende kwenye ripoti: Katika Bunge hili, inaonekana kuna Wabunge zaidi ya wengine. Hii ni kwa sababu kuna Wabunge ambao wanafika mapema, wanaweka kadi na majina yao yanasomwa katika mashine ya Bunge kwamba wametangulia lakini hawapewi nafasi kuzungumza. Sijui ni kwa sababu gani."
}