GET /api/v0.1/hansard/entries/1323958/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323958,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323958/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": null,
    "content": " Hilo linafaa kuingia kwa rekodi ya Bunge kwa njia hiyo. Ninataka nimpongeze Mhe. Rahim kwa sababu Mbunge anachaguliwa kuwafanyia wananchi kazi. Kwa hivyo, nampongeza Mhe. Rahim kwa kuuleta Mswada huu kuhusu mambo ya afya ya teknolojia ya kisasa Bungeni. Dunia hii inasonga kwa mwelekeo wa teknolojia ya kisasa. Kwa hivyo, sheria hii imekuja kwa wakati unaofaa. Hii sheria itasaidia wananchi hasa wale ambao wanatoka mbali. Vile vile, itasaidia kupunguza wakati wa kutembea kwa sababu hospitali zinazoshughulikia mambo ya saratani ni chache sana nchini."
}