GET /api/v0.1/hansard/entries/1323959/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1323959,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1323959/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, teknolojia hii itakapowekwa katika sheria, itasaidia wananchi wengi katika taifa hili. Wananchi watakuwa na mahali pa kuhudumiwa kwa haraka, na rekodi zao pia zitawekwa kwa matumizi ya baadaye. Matumizi ya teknolojia yataweza pia kusaidia wananchi kushirikiana na daktari kwa sababu taasisi zinahusika na mambo ya saratani ni chache sana. Kwa hivyo, Mswada huu utasaidia kupunguza msongamano mahospitalini na kuhakikisha kwamba wagonjwa wanatibiwa kwa haraka. Kwa hayo machache, naomba kuunga mkono. Ahsante."
}