GET /api/v0.1/hansard/entries/1324629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1324629,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1324629/?format=api",
"text_counter": 58,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nataka kupongeza Kamati inayoongozwa na Sen. Wakili Sigei kwa kazi nzuri waliofanya. Pia, nataka kujibu Sen. Faki kwa sababu mimi ni Mwanakamati wa Kamati inayoshughulikia mambo ya barabara na ujenzi ya kwamba. Taarifa yake kuhusiana na lifti tunaiangazia. Majibu tuliyopata kutoka kwa Wizara ni kwamba kulikuwa kidogo na mukshi kama hiyo nyumba ni ya Serikali ya kitaifa au ni ya kaunti. Tulirudisha Taarifa lakini bado tunangojea taarifa. Bw. Spika, kama ulivyoagiza, Naibu wa Mwenyekiti ataleta taarifa ya kutosha wiki hii au wiki ijayo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}