GET /api/v0.1/hansard/entries/1326448/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1326448,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1326448/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, yale yote niliyosema yako katika Ripoti hii. Shida ni Sen. Cherarkey ni kama wale wanagenzi. Hajasoma Ripoti lakini akisikia Waziri ametajwa, anaruka. Kumetajwa Mawaziri watatu hapa na watu wakakubaliana kwamba,"
}