GET /api/v0.1/hansard/entries/1326462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1326462,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1326462/?format=api",
"text_counter": 208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, dakika zangu zilisimamishwa. Bado niko na kama dakika kumi na tano. Nilikua nasema kwamba Waziri Aisha Jumwa aliyekua Mbunge wa zamani wa eneo Bunge la Malindi, kule eneo la Shakahola liko, alikua shahidi muhimu kuja kwa hii Kamati kueleza ni mambo gani aliona hapo awali kuhusiana na Pastor Mackenzie. Haya mambo, walinda usalama hawakuyachunguza ili kuhakikisha tukio kama hili la Shakahola limedhibitiwa. Tumeona kwamba Dr. Johansen Oduor, mkuu wa upasuaji, hakuruhusiwa kuja mbele ya Kamati kutoa ushahidi. Hatujui ni jambo gani ambalo Dr. Oduor angezungumza ambalo lingekua kinyume na usalama wa Taifa. Tulimuona mkuu wa usalama, Mhe. Noordin Haji ambaye alikuja mbele ya Kamati na akatoa ushahidi bila kua na shida yeyote. Kwa hivyo, katika kuzuiliwa Kamati hii kufanya uchunguzi wake kikamilifu, ilikua ni makosa kwa Waziri wa Usalama wa Ndani, kuzuia mashahidi kuja kutoa ushahidi katika Kamati yetu. Bw. Naibu Spika, mwisho ni kwamba, tulipata fursa ya kwenda ofisi kuu za Directorate of Criminal Investigations (DCI). Kusema kweli, DCI yetu ni moja ya"
}