GET /api/v0.1/hansard/entries/1326464/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1326464,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1326464/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "masharika yana utaalamu mwingi na zina vifaa vingi vya kufanya kazi. Lakini, jambo la kusikitisha ni kwamba, budget ama pesa zinazotengwa kwa shuguli zao muhimu zimekua haba sana. Tulipokua pale, hata ule wino wa kuchukua alama za vidole ili upate certificate of"
}