GET /api/v0.1/hansard/entries/1334339/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1334339,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1334339/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Mhe. Bady havai kofia. Mimi ndiye huvaa kofia. Swali langu kwa Waziri ni kwamba, Mheshimiwa Rais alikuja Kisauni akaanzisha rasmi ujenzi wa barabara ya kutoka Kiembeni kuelekea Mwakirunge hadi Bondora lakini alipoondoka mahali pale, tingatinga zote zilimfuata."
}