GET /api/v0.1/hansard/entries/1336633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1336633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336633/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii nizungumzie mambo yanayohusu akina mama na wasichana wao. Tumekuwa na shida kubwa sana ya sodo katika nchi yetu ya Kenya. Nilishangaa sana niliposikia taarifa iliyosomwa na Mbunge aliyetoa Taarifa hiyo."
}