GET /api/v0.1/hansard/entries/1336640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1336640,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336640/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Ni vizuri sana Taarifa hii imekuja kama tuko na wanafunzi na walimu wa mashule mbali mbali katika Bunge hili la Taifa. Ilitangazwa vizuri sana na ikasemekana kwamba mambo ya sodo iwekwe katika Ofisi ya Mama County ama County Women Representatives kwa sababu wanajua sana mambo ya akina mama na wasichana. Lakini kwa bahati mbaya, hatujui mahali imepelekwa."
}