GET /api/v0.1/hansard/entries/1336680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1336680,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336680/?format=api",
"text_counter": 144,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": " Ahsante Mhe. Naibu Spika. Nitakuwa mfupi wa maneno. Kwanza, umesema Mbunge wa Mwatate. Huyu ni Mbunge wa Wundanyi. Kabla niunge mkono yanayojiri hapa Bunge, ninataka kuwashukuru na kuwapongeza Wajumbe wa County Assembly ya Taita Taveta, ambao wamekuja Bunge letu la Kitaifa. Tuko na Kamati ya Wanyama Pori na Ardhi ya Kaunti ya Taita Taveta, wakiongozwa na Mhe. Joseph Kennedy, almaarufu “uncle” ; akiwemo pia Mhe. Rose Shingira na Mhe. Nancy Mwakio, wakiambatana na wafanyikazi wa Bunge la Kaunti ya Taita Taveta. Ninataka nichukue nafasi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}