GET /api/v0.1/hansard/entries/1336681/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1336681,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336681/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Wundanyi, WDM",
"speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
"speaker": null,
"content": "hii kuwakaribisha katika Bunge la Kitaifa, na niseme kwamba ile barua walioleta katika Bunge la Kitaifa ni ya muhimu sana. Ni ya masuala ya wanyama pori wanaosumbua kule Taita Taveta. Niko na mambo matatu peke yake ya kusema kwa suala hili la sodo, ambalo limegonga vichwa vya habari mchana wa leo. Kwanza, Serikali Kuu ipeane kazi ya kugawa hizi sodo kwa akina mama wa kaunti, yaani Women Representatives . Hii agenda kwamba Serikali Kuu inataka kufanya shughuli hii kupitia kwa Wizara, lazima tukatae kama Bunge la Kitaifa."
}