GET /api/v0.1/hansard/entries/1336857/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1336857,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336857/?format=api",
"text_counter": 69,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchangia ombi hili. Usalama wa ndege na abiria wake ni muhimu. Hakuna mtu anayetaka ukosefu wa usalama. Ndege na maisha ya binadamu ni ghali. Kwa hivyo, kila mtu anayeitumia ndege na hata wale wasioitumia wanataka usalama wa ndege na abiria wake uangaliwe."
}